Klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambayo imezoeleka kutumia uwanja wake wa Nou Camp, March 9 imetoa picha za muonekano wa uwanja wao utakavyokuwa kwa miaka minne ijayo. FC Barcelona wametoa pichaz ramani ya ujenzi wa uwanja huo ambao utajengwa kwa thamani ya Pound milioni 465
Mabingwa hao wa Ulaya wamethibitisha kuwa mchora ramani na mbunifu wa Kijapan Nikken Sekkei ndio ameshimda tenda ya kufanya ukarabati wa uwanja huo hadi utakapokamilika 2021, ambao utakuwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 105000.
Habari kwa hisani ya www.millardayo.com
.




0 Comments
Post a Comment