Showing posts from 2017Show all

Rais Paul Kagame kuapishwa Rwanda

Rais wa Rwanda Paul Kagame anaapishwa leo kuiongoza nchi hiyo kwa muhula wa tatu wa miaka 7. Hii ni baada ya kushinda uchaguzi wiki mbili zilizopita kwa kupata asilimia 98 ya kura. Sherehe za kula kiapo zinafanyika kwenye uwanja wa taifa Amahoro mjini Kigali. … Read more