Share Oxford dictionary.exe - 137 MB Read more
Share Oxford dictionary.exe - 137 MB Read more
>>Click here Read more
>>Click here Read more
Baada ya straika mpya wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo kuwapagawisha mashabiki wa timu hiyo kwa uwezo wake mkubwa aliouonyesha juzi, sasa amegeukia kwa Mrundi mwenzake, mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akianza kwa kutamba: “Hapana, Tambwe haniwezi niko vizur… Read more
Matokeo ya End of semister July 2016 >>>>Click here Read more
July 2016 Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imetangaza matokeo ya kidato cha sita, Matokeo yote unaweza kuyatazama kwa kubonyeza >> Hapa Read more
Habari za kuongezeka kwa ukusanyaji wa mapato katika Taasisi nyingi za Serikali zinazidi kuchukua vichwa vya habari, tuliona Jeshi la Polisi Usalama Barabarani na sehemu nyingine mapato yakiongezeka. Leo Tarehe 11 March 2016 Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na… Read more
Klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambayo imezoeleka kutumia uwanja wake wa Nou Camp , March 9 imetoa picha za muonekano wa uwanja wao utakavyokuwa kwa miaka minne ijayo. FC Barcelona wametoa pichaz ramani ya ujenzi wa uwanja huo ambao utajengwa kwa thaman… Read more
Jeshi la Polisi Arusha limewaua majambazi watatu waliokuwa wakihusika na matukio ya wizi, pia liliwakuta wakiwa na milipuko ya bovu, bunduki, mavazi ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) pamoja na ujumbe maalum kwa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Dar es salaam, Suleim… Read more
March 1 2016 Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini ( EWURA ) ilitangaza bei mpya ya bidhaa za mafuta ya Petrol, Diesel na ya m afuta ya taa katika masoko yote ya jumla na rejareja ambapo bei hizo zitaanza kutumika kuanzia tarehe 2 march 2016. … Read more
kuangalia matokeo ya kidato cha nne 2015 Bonyeza hapa Read more
Follow Us